Post AD

RASHFORD KUONGEZWA MSHAHARA



Marcus Rashford atakuwa akipokea paundi 10,000 katika mkataba mpya na Manchester United msimu huu wa majira ya joto, kwa mujibu wa Sun .
Kinda huyo alisaini mkataba mpya mwaka jana na sasa atajazwa minoti zaidi na Mashetani Wekundu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni