
Manchester United wanafanya mchakato kumuunganisha Jose Mourinho na kiungo wa Chelsea Nemanja Matic kwa mujibu wa Manchester Evening News .
Mreno huyo anatafuta kiungo wa kati na anaamini nyota huyo wa Chelsea atakuwa jawabu kwa tatizo la kikosi chake kwenye nafasi hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni