
Chelsea wanataka kumsajili kiungo wa West Ham, Manuel Lanzini kama mrithi wa nafasi ya Cesc Fabregas, kwa mujibu wa Sun .
Fabregas amehusishwa na tetesi za kutaka kutimkia AC Milan na mkurugenzi wa ufundi wa Blues Michael Emenalo anaamini Lanzini ni mrithi sahihi na anaweza kuwa kama Luka Modric.
0 maoni:
Chapisha Maoni