Post AD

KOSCIELNY MLANGONI KUONDOKA ARSENAL


Beki wa Arsenal Laurent Koscielny alikuwa katika mazungumzo na Marseille katika harakati za kuhamia kwenye klabu hiyo ya Ligue 1, kwa mujibu wa ripoti kutoka Canal Plus , cited by GFFN .
Beki huyo wa Washika Mtutu wa London amecheza mechi 32 Ligi Kuu Uingereza kwenye kikosi cha Arsene Wenger na amebakiwa na miaka mitatu katika mkataba wake mpya katika Emirates.
Mustakabali wa Wenger ukiwa haueleweki, hata hivyo, chanzo cha Ufaransa kimedai kuwa Koscielny bado anaendelea kutafakari uamuzi wake kwa ajili ya msimu ujao.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni