GOLDEN GENERATION
Barcelona’s ‘original’ Luis Suarez: Spain’s only Ballon d’Or winner who ended Real Madrid’s European Cup dominance
Huyu ndiye mhispania pekee ambaye aliyeweza kushinda tuzo ya ballon d'or katika list nliyoiweka kwenu jana.
kijana huyu alizaliwa tarehe 2 may mwaka 1935 katika jiji la Coruna. Alianza kucheza soka katika timu ya deportive de le coruna huku ya vijana akicheze mechi yake ya kwanza katika katika timu ya wakubwa kipigo cha sita(6) bila (0) dhidi ya barcelona. Alicheza mechi 17 na kufunga magoli 3 katika timu ya deportivo(1949-1953)
Mwaka 1954 alihamia Barcelona ila alicheza sana katika timu ya CD España Industrial katika Segunda División
kwanzia mwaka 1955-1961 luis suarez alikuwa kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya barcelona huku akiwa na wenzake kama Ladislao Kubala, Zoltán Czibor, Sándor Kocsis, Ramallets na Evaristo china ya uongozi wa kocha Helenio Herrera . Katika kipindi chake na barcelona suarez alishinda La Liga/Copa del Generalísimo double mwaka 1959 na La Liga/Fairs Cup double mwaka 1960
The Spaniard formed a fearsome attack line with legendary Hungarian trio Ladislao Kubala, Zoltan Czibor and Sandor Kocsis.(hii ndo ilikuwa MSN) ya kipindi hcho .
POSITION;ATTACKING MIDFIELDER
Na hii ndo barcelona iliweza kumaliza utawala wa madrid katika champions league sababu madrid walichukua mataji matano mfululizo ya champions league 1955-1960 ila mwaka 1961 waliweza kutolea na barcelona ya kina luis suarez huku luis suarez akiwafunga madrid nyumbani kwao bernabeu
''The ‘other’ Luis Suarez won two La Liga titles and two Copa del Rey trophies in his homeland before becoming the world’s most expensive player when moved to Inter — and became the symbol the legendary Grande Inter side which won back-to-back European Cups.''
''He also claimed the Scudetto three times and two Intercontinental Cups during his time in Italy.
Nicknamed ‘The Architect’, Suarez was a good-looking, nimble-footed attacker — an archetypal No.10''
Mnamo mwaka 1960 Luis Suarez aliweza kushinda tuzo ya Ballon D'or akimsinda ferenc puskas huku akiwa mspain wa kwanza kushinda tuzo hiyo na mpaka leo hakuna mspain yeyote aliweza kushinda tuzo hiyo huku tukiwaona kina iniesta na xavi wakiishia kushindana tu ila sio kuibeba tuzo hiyo
Luis Suarez alikuwa mchezaji ghali duniani baada ya kuhamia timu ya inter milan na kumalizia sampodria
Alicheza mechi 458 za klabu na kufunga magoli 115
Alicheza mechi 32 kitaifa na kufunga magoli 14
Baada ya kustaafu alikuwa mwalimu/kocha wa timu mbalimbali zikiwemo inter milan, sampodoria , Spal , Deportivo de le coruna na pia alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Spain mwaka 1988-1991
Huyu ndiye luis suarez alivyo kwa sasa
0 maoni:
Chapisha Maoni