Post AD

BAYERN KUUZA NYOTA WAWILI



Mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich are wapo tayari kuwauza Douglas Costa na Renato Sanches, kwa mujibu wa  Kicker .
Miamba hao wa Bavaria wapo katika harakati za kuunda timu upya kufuatia kustaafu kwa Philipp Lahm na Xabi Alonso, na habari zinadai kuwa wachezaji kama Joshua Kimmich na Kingsley Coman watabaki Allianz Arena lakini si Costa wala Sanches.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni