Leo katika jiji la manchester tutashuhudia timu mbili kubwa za jiji hlo zikivaana kugombania nafasi 4 za juu
Manchester city ikiwa point moja tu juu ya mahasimu wao manchester united leo inabidi ipate ushindi ili kuweza kuongeza gape kati yake na united na kuweza kupanda mpaka nafasi 3 juu ya liverpool
City katika mechi zake 5 za mwisho kapoteza mmoja, droo mbili na kashinda michezo miwili huku mpinzane wake united ana droo mbili na kashinda michezo mitatu ikiwemo mechi yake dhidi ya chelsea
katika mchezo wa leo anaepewa nafasi kubwa ya ushindi ni manchester city huku manchester united ikiwa ina wingi wa majeruhi katika safu ya ulinzi na pia watamkosa mshambuliaji wao namba moja Zlatan Ibrahimovich anaesumbuliwa na majeraha huku pia inasemekana Poul Pogba anaweza asicheze katika mechi ya leo.
Upande wa city inasemekana kuwa wanaweza kuwakosa watu wao wa muhimu kama Sergio Aguero na David Silva ,wanasumbuliwa na majeraha waliopata katika mchezo wa FA dhidi Arsernal wikiendi hii
Manchester city predicted xi Manchester United xi
C.Bravo D.Degea
N.Otamendi D.Blind
V.Kompany E.Bailly
J.Navas A.Vallencia
G.Clichy M.Darmian
Y.Toure A.Herrera
Fernandinho M.Carrick
K.DeBruyne M.fellaini
L.Sane A.Martial
R.Sterling\ H.Mikhitaryan
F.Delph M.Rashford
0 maoni:
Chapisha Maoni