
Mshambuliaji lionel messi wa klabu ya barcelona jana usiku katika mechi
ya el classico aliweza kufikisha idadi ya magoli 500 baada ya kupachika magoli mawili
real madrid walipokea kichapo cha 3 kwa mbili kutoka kwa mahasimu wao wakubwa barcelona
magoli ya madrid yalifungwa na cassemiro na james huku ya barcelona yakifungwa na messi na rakitic
0 maoni:
Chapisha Maoni