Post AD

GUARDIOLA ALAUMU JUU YA MABEKI WENYE UMRI MKUBWA


Pep Guardiola alilalamika juu ya mabeki wake kuzeeka 'kutokuwa na uwezo wa kufaa katika mfumo wake na Manchester City baada ya kutoka kwa sare tasa dhidi ya Manchester United.

United walikuwa katika Uwanja wa Etihad, waliweza kupiga shuti moja tu juu ya lengo na 31 asilimia ball possition, na city walikuwa na chance nyigi za kushinda katika mechi hyo wakiwa na asimilia 69 za ball possition.

GUARDIOLA aliwachagua Pablo Zabaleta 32 na Aleksandar Kolarov 31 miaka kwa mtiririko huo, katika full-back, pamoja na Bacary Sagna, 34, na Gael Clichy, 31, walikuwa kwenye benchi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni