Post AD

BRAIN OF OPERATION






















Tukiongelea mafanikio ya madrid watu wengi humuangalia cristiano ronaldo tu ila kwa wale wanaojua soka vizuri hawatawaacha mbali hawa vijana wawili ambao wamefanya sehemu ya kiungo ya madrid kuwa imara zaidi.

BRAIN OF OPERATION
Maana ya hii ni kama akili ya timu, mtengeneza mipango wa timu.
mpaka sasa ukiambiwa utaje viungo top 5 bora duniani huwez kuacha kuwataja hawa vijana wawili

ILA OPERATION HII HAIKAMILIKI BILA MBRAZIL CASEMIRO


Casemiro ni mtu wa kuharibu mipango ya timu pinzani huku Modric na Toni wakitengeneza nafasi.

FAINALI ZA UEFA
Katika fainali hii cristiano ronaldo ndo alikuwa Man Of The Match labda kwa sababu ya kufunga magoli mawili ila kwa mtu alieangalia mechi aliona jinsi gani Modric alivyokuwa akizunguka uwanja wote na mpira huku akitafuta na kutengeneza chances.
Goli la pili la ronaldo ilikuwa ni assist kutoka kwa Modric pia alitengeneza chances nyingi...

So kwa upande wangu man of the match ilifaa apewe Modric

Tukiacha huyo mwingine ni Casemiro, jana alikuwa katika disiplini ya hali ya juu aliweza kuharibu mipango mara kadhaa kwa timu pinzani na kufunga goli ambalo liliwaweka Real  Madrid mbele tena..

Toni kroose nadhani kila aliye angalia mpira alimuona vzuri

IN SHORT
Kuna msemo unasema 'TUNAWAKUMBUKA WANAOFUNGA MAGOLI LAKINI TUNAWASAHAU WANAO WATENGENEZEA'



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni